Chanzo cha picha, Ikulu Maelezo ya picha, Rais Samia akiwa Ikulu ya Chamwino Dodoma, alipokutana jana (Mei 6, 2023) na watendaji wake pamoja na mengine kujadili mchakato wa Katiba Mchakato wa ...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba kadhaa zilizoacha alama kwenye siasa, uchumi, na maendeleo ya Tanzania.
Oktoba 12 mwaka 2021, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alizungumza hadharani akiwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma kwamba yeye hana kabila. Chini ya miezi sita baada ya kauli hiyo, serikali ...