Serikali iliamua kuifanya Dodoma kuwa makao makuu kwa sababu ... yote nchini na Magufuli mwenyewe alimalizia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino na katika siku zake za mwisho madarakani alikuwa akikaa ...
Rais Samia alifanya mabadiliko ya kwanza mwezi Machi 2021, Ikulu Chamwino, Dodoma wakati wa hafla ya kumuapisha Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Mabadiliko ya pili yalifanyika mwezi Septemba 2021.
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba kadhaa zilizoacha alama kwenye siasa, uchumi, na maendeleo ya Tanzania.