Mamlaka nchini Tanzania zimeazimia kuendeleza kampeni ya kudhibiti biashara ya maduka ya kubadilisha fedha za kigeni nchini humo ili "kuzuia kuyumba kwa sekta ya fedha". Mwezi uliopita, Benki kuu ...
Katika baadhi ya maduka ya kubadilisha fedha za kigeni mjini Dar es Salaam, dola moja ya Marekani inauzwa kwa kati ya shilingi 2,415 hadi na shilingi 2418 ya Tanzania. Bei ambayo inatajwa kuwa ...