Mjadala juu ya bandari ya Dar es Salaam, Tanzania umekuwa mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii; ni baada ya serikali ya Tanzania, kuonesha azma ya kutaka kuingia makubaliano ya ...
Dar es Salaam ni mji wa pili Afrika mashariki kwa utajiri baada ya Nairobi, ambapo kwa jumla Afrika ni mji wa 12 na Nairobi mji wa sita. Mombasa ni mji wa 23 kwa utajiri Afrika. Tanzania kama ...