Baada ya changamoto ya usafiri kutokana na janga la corona, watalii wa kimataifa wanatarajiwa kufikia viwango vya kabla ya janga la uviko 19 mwaka 2024. Hata hivyo kukua kwa safari za kimataifa ni ...
Hali hii inabadilisha mandhari yake, kupunguza vivutio vya utalii, na maisha ya watu waishio karibu. Barafu ya Mlima Kenya – wa pili kwa urefu Afrika – inaendelea kuyeyuka kwa kasi kutokana na ...
Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa ...