Ukame umeyakumba maeneo mengi ya Afrika Mashariki na Kusini pia ndani ya mwaka huu mmoja uliopita, na baadhi ya maeneo nchini Uganda hayakuweza kuepuka hali hiyo. Katika mji wa Patongo karibu nusu ...
Umoja wa Mataifa unasema wakimbizi milioni moja sasa wameikimbia Ukraine na kuelekea nchi jirani. Meya wa Mauripol amesema wanajeshi wa Urusi ambao wamezunguka mji wa bandari wa kusini ...