News

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeibua madudu katika vyama vya siasa kwa kueleza kuwa baadhi ...
Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi wa ajali hiyo leo Jumamosi, Aprili 19, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Linda ...
Katika maeneo ya Buguruni, Tandale na Temeke, biashara ya kaunga hufanyika, mabaki haya yakiuzwa kati ya Sh200 na Sh500 kwa ...
Hatua hiyo ya kuchapishwa kwa kanuni hizo, inafungua milango kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kuendelea na ...
Kaunda raia wa Zambia kuwa kocha Mkuu kwa kipindi hiki cha kuelekea kumaliza msimu wa 2024/2025 Ligi kuu ya NBC soka Tanzania ...
Pazia la mchakato huo lilifunguliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichowapitisha Rais Samia na Dk Nchimbi, kisha vyama vya ...
Kutokana na changamoto hiyo, CAG amependekeza kiwanda hicho kihakikishe mauzo yote yanayofanyika kwa wateja yanakuwa na ...
Kauli ya uchochezi ambayo Kamwe anatuhumiwa kutoa ni ya kudai waamuzi wanaipendelea timu ambayo hakuitaja jina.
Sanaa ya filamu imempoteza msanii. Mtaa umepoteza mrembo, Magomeni imepoteza balozi. Familia imepoteza mtoto, dada, anti na ...
Mratibu wa zamani wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi Apili 19, 2025 katika Hospitali ya Itengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.
Katikati ya wiki hii liliibuka sakata la Miss Tanzania 2023, Tracy Nabukeera kutangaza hatoshiriki Miss World 2025 ...
Dar es Salaam. Jumla ya Sh306 milioni zinatarajiwa kulipwa na Shirika la Masoko Kariakoo kwa madeni ya waliokuwa watumishi wa ...