Aidha, wanamgambo hao wameendelea kujinasibu kuwa wanakaribia kuuteka mji wa Butembo ndani ya siku chache zijazo. Lubero, mji unaoshikiliwa na FARDC, unatajwa kuwa kitovu cha kiutawala katika wilaya ...