Upelelezi wa kesi ya mauaji inayomkabili Fred Chaula (56) na wenzake wawili bado haujakamilika, mahakama imeelezwa.