Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea mjini Ruangwa ambako jana walicheza mechi ya ya Ligi Kuu NBC dhidi ya Namungo ...
Namungo has managed two wins over their last seven home matches this season. After picking up a shocking victory over Mashujaa at home, Dodoma Jiji suffered a loss on their home turf against Pamba SC.
DODOMA Jiji FC team bus was involved in an accident this morning near Nangurukuru, on its way to Somanga in Lindi Region. The team was traveling from Ruangwa, where they played an NBC Premier League ...
Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za pole kwa klabu ya Dodoma Jiji kufuatia ajali iliyotokea eneo la Nangurukuru mkoani Lindi. Hayo ...
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao Namungo FC, ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari ...
Kilwa. Basi la timu ya Dodoma Jiji limepata ajali huku ikidaiwa wachezaji na watumishi wa timu hiyo ambao wanakadiriwa kufika 37 kujeruhiwa baada ya basi lao kutumbukia mtoni. Ajali hiyo imetokea leo ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...