Ni mojawapo ya siku kubwa ya maisha ya wanandoa na kama mtu aliyeandaa harusi atakelezea , kuchagua mpiga picha mzuri ni muhimu. Hata iwapo ulikuwa na mawazo na huzuni, mpiga picha mzuri ...
Bibi harusi mmoja kutoka Norway na mpenzi wake kutoka Sweden waliandaa sherehe ya harusi yao kwenye mpaka kati ya mataifa hayo. Katika sherehe hiyo ya kipekee, wageni waalikwa walisimama kila ...