News

Sintofahamu imeibuka kuhusu upanuzi wa barabara kutoka Kibaha hadi Chalinze, mkoani Pwani, kisha Morogoro, inayolenga kupunguza msongamano wa magari, lakini mradi huo haujatekelezwa kwa muda mrefu.