Katika vita vya kibiashara vinavyoendelea, Trump amesema hatua hii ni kulipiza kisasi kwa ushuru wa asilimia 25 ambao Ontario iliweka kwa umeme inayoupeleka kwa majimbo ya kaskazini ya Marekani.
Wiki hii yatashuhudiwa matukio muhimu kuhusu vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo mazungumzo ya amani yanatarajiwa kufanyika Harare na Luanda huku mjini Brussels ukitarajiwa ...
MWANAMKE wa Kikenya, amekamatwa kwa usafirishaji wa dawa za kulevya huko Vietnam. Imepangwa kunyongwa kesho. Vietnam ina sheria kali zaidi duniani kuhusu dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na adhabu ya ...
Kutokana na hali hiyo, Jiji la Dar es Salaam lenye wakazi milioni 5.3 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, kwa asilimia kubwa wananchi wanaishi katika mazingira yaliyozungukwa na ...