RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali itanunua umeme, kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini inayokabiliwa na kukatikakatika kwa nishati hiyo. Akihutubia mamia ya wananchi Machi 9,2025 wakati wa ...