Kauli hii ya Rwanda, imekuja baada ya rais Ndayishimiye, kuliambia Shirika la Habari la Uingereza BBC kuwa, alikuwa amepokea ripoti za kuaminika za Kiiteljensia, nchi hiyo jirani ilikuwa inapanga ...
Katika kipindi hiki, taarifa nyingi potofu na kauli zenye chuki, zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, hali ambayo inaendelea kuzua mgawanyiko kati ya raia wa kawaida, hasa wafuasi wa ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya shule nchini Japani. Shule za msingi na sekondari za chini nchini Japani zina matukio kadhaa yanayohusisha wanafunzi wote, kando na masomo ya kawaida.
Katika juhudi za kuafikia amani na kusitisha mapigano kati ya Urusi na Ukraine, Rais Donald Trump, ameonekana kubadilisha mkondo wa namna anavyoshirikiana na nchi hizi mbili, huku akidhoofisha ...
Mahakama Kuu ya Kimataifa ilisema siku ya Ijumaa itasikiliza kesi iliyoletwa na Sudan kutaka hatua za dharura zichukuliwe dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu Na Lizzy Masinga Chanzo cha picha ...
Rais Samia Suluhu Hassan amewafuturisha Watoto wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo Dodoma katika Kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Akizungumza wakati wa Iftari hiyo kwa niaba ...
Dk. Biteko: Sekta ya nishati yapata mafanikio makubwa chini ya Rais Samia. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia ...
ALIYEKUWA Kamanda wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kada wa chama hicho, Justine Nyari amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na kuwataka Watanzania bila kujali ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya sukari kilo 2,500 na maji katoni 83 kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al-Fitri na Pasaka kwa vituo 24 vinavyotoa huduma za ustawi wa jamii, ikiwemo makao ya watoto ...
SIMBA inakwenda Misri kucheza mechi ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry huku ikipiga hesabu ndefu za kuvuka hatua hiyo lakini inafikiria namna ya kuvuka kikwazo ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo. Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo ametoa maagizo matano kwa ...
Krasnodar. Rais wa Urusi, Vladimir Putin amependekeza Ukraine iwekwe chini ya utawala wa muda ili kuruhusu uchaguzi mpya kufanyika huku akisisitiza kuwa takwa hilo likitekelezwa atakuwa tayari kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results