Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela Mchungaji Daud Nkuba, maarufu kama Komando Mashimo au Nabii Mikaya, baada ya kupatikana na hatia ya kuharibu ujenzi wa nyumba ...