Barafu ya Mlima Kenya – wa pili kwa urefu Afrika – inaendelea kuyeyuka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Hali hii inabadilisha mandhari yake, kupunguza vivutio vya utalii, na ...
"Hakuna miadi ya visa inayoweza kufanywa katika Ubalozi wa Marekani huko Ndjamena." Huu ndio ujumbe unaoonyeshwa sasa kwenye tovuti ya uwakilishi wa kidiplomasia wa Marekani nchini Chad.
Tanzania inashiriki katika msafara wa kunadi vivutio vya utalii katika nchi za Ulaya Magharibi ulioanza tarehe 10- 15 machi 2025 ambapo wauzaji na wanunuzi katika sekta ya utalii wanakutana katika ...
Panel member Lindah Gakii put Wasilwa to task on whether he had enough CPD points for 2024 to qualify for a practicing certificate for 2025. The points serve as evidence of an individual's ...
Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga wakisaini mkataba wa kutangaza vivutio vya Zanzibar kupitia kauli mbiu ...
Idhaa ya Kiswahili ya BBC ilifanya vipindi mbali mbali vya kukumbuka miaka 20 tangu kifo cha hayati Luambo Makiadi, a.k.a Franco, mwanamuziki maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Dar es Salaam. Yanga imepanga kutumia mafanikio yake ya uwanjani kupaisha utalii wa Zanzibar ambapo sasa haitoishia kuvaa jezi za kuitangaza Zanzibar tu bali kutoa elimu kuhusu vivutio tofauti vya ...
Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika kuwa na maambukizi hayo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imeeleza ...
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imevuna Sh bilioni 694 zilizotokana na kuingiza watalii milioni 2.9 kati ya Julai 2021 na Februari 2025. Kamishna wa Uhifadhi NCAA, Dk Elirehema Dorie alisema ...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa ...
Serengeti. Ili kuendelea kuwavutia watalii wa ndani na nje ya Tanzania, Hifadhi za Taifa za Serengeti na Tarangire zinakusudia kuanzisha vivutio vipya, ikiwemo utalii wa usiku na kuwabainisha tembo ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 25 amezindua lango la kuingia na kutoka watalii la Ndea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyoko Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Uzinduzi wa lango hilo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results