Aidha, jiji hili linahudumu kama lango la vivutio maarufu vya utalii, likiwemo Hifadhi ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, na visiwa vya Zanzibar. Afrika Kusini ni mwekezaji mkubwa nchini Tanzania, hasa ...
na kuhakikisha skuli zina vifaa vya kisasa vya kufundishia na kujifunzia. Kutumia teknolojia ni jambo muhimu kwa Zanzibar ambayo inapaswa kuanzisha programu za elimu za kidijitali, ikiwemo mafunzo ya ...
Miongoni mwao alikuwa Samra Luqman, mwanaharakati ambaye alikuwa Democrat na chama cha Biden lakini aliamua kumpigia kura Trump wa Republican kwa sababu alimlaumu Biden kwa kuhusika na vita vya ...
Licha ya kuzungukwa na vifusi vya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea, wakazi wa Mogadishu mapema miaka ya 1990 walikumbatia nyakati za utulivu. Mwangaza wa jua wa Jumapili na upepo baridi ...
Mbali na hayo, alieleza ujio wa wageni unawapa nafasi ya kuitambua nchi, lakini wanaweza kushawishika ama kuwekeza au kwenda mbali zaidi na kuamua kutembelea vivutio vya utalii. “Mambo yote hayo ...
Aidha Mwenyekiti huyo wa Kamati ya PIC ametoa wito Kwa watanzania wote na wakazi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani na Arusha kutembelea eneo hilo ili kujionea vivutio mbalimbali vya utalii. “Nitoe rai ...
Mafunzo hayo yanafanyika chini ya Mradi wa Thamini Uzazi Salama, ambao unalenga kuwajengea wakunga uwezo wa kushughulikia dharura wanapokuwa kwenye vituo vya afya. Akizungumza leo Februari 10, 2025, ...
Mratibu huyo wa THRDC pia amependekeza mashirika kushirikiana na wafanyabiashara, taasisi za kifedha na wahisani wa ndani ili kuongeza vyanzo vya fedha kwa ajili ya miradi yao. Mashirika hayo yalikuwa ...