Ukame umeyakumba maeneo mengi ya Afrika Mashariki na Kusini pia ndani ya mwaka huu mmoja uliopita, na baadhi ya maeneo nchini Uganda hayakuweza kuepuka hali hiyo. Katika mji wa Patongo karibu nusu ...