News

Mwanahabari mashuhuri wa Uganda, Shaka Ssali, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 71, wiki mbili kabla ya kutimiza miaka 72. Taarifa zinaeleza kuwa Ssali alifariki dunia Alhamisi, Machi 27, 2025, huko ...
Baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 18 tarehe 16 Desemba 2011, alitangazwa rasmi kuwa mwanamke mfupi zaidi duniani akiwa na urefu wa sentimita 62.8 yaani rula mbili na sentimita 2.8 ...