"Vyama vya siasa vipo 19, ikiwemo NLD. Sisi hatuendi msituni wala hatususii uchaguzi, bali tunaenda kuwaeleza wananchi sera zetu ili watupe ridhaa ya kuwaongoza," alisema Doyo. Alieleza kuwa mwaka ...