Katika kuhakikisha Jamii inakua salama dhidi ya magonjwa ya mlipuko, Wizara ya Afya imeanza kutoa elimu katika maeneo ...
Shambulizi la anga la Israel katika mji wa kusini wa Khan Younis huko Gaza limemuua kiongozi mkuu wa chama cha Hamas Salah al ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi watumishi wa mizani ya barabara nzima ya ...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia mameneja watatu wa vituo vya mafuta vya Simba Oil na linaendelea kumsaka ...
DAR ES SALAAM: MADEREVA wa Bolt wamepokea kwa furaha, mpango wa serikali unaolenga kuimarisha usalama wa madereva na abiria ...
Kwa mujibu wa taasisi ya kimataifa ya utunzaji mazingira ya Environmental Protection Agency (EPA), magari ya kubeba takataka ...
Jenista alieleza kuwa dalili hizo ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo. Aidha, serikali imesema kupitia Wizara ya Afya ...
Osama bin Laden alisomea uhandisi wa ujenzi katika Chuo Kikuu cha King Abdulaziz huko Jeddah, na mawazo yake yalibadilika ...
Wasafirishaji wa malori na wasafirishaji wa mizigo kutoka Rwanda wanasema wanapitia wakati mgumu kutokana na mzozo huo katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakilazimika kukab ...
Fatuma Mfumia ndiye dereva pekee wa kike katika shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF Tanzania. Fatuma ndiye tunayemwangazia leo. Video iliyorekodiwa na UNICEF Tanzania inamwonesha ...
Pia, malipo yote ya punguzo hufanyika papo hapo na yanaonekana katika mapato ya kila siku ya dereva, kuhakikisha uwazi na ufafanuzi wa mapato ndani ya programu ya Bolt. Bolt inaendelea kujitolea ...