UKIWATAJA mabondia wa Tanzania waliofikia rekodi ya hadhi ya nyota nne, basi jina la mtoto wa Zena Kipingu, mke wa Kanali ...
Shura ya Maimamu nchini Tanzania imetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kuitisha tena mkutano na wadau wa vyama vya siasa ...
Majeruhi 46 kati ya 75 wa ajali mbili tofauti ikiwemo iliyoua wanakwaya sita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT ...
Kombora lilifyatuliwa na kutimua wingu la vumbi la kahawia angani likielekea eneo la mstari wa mbele wa vita . Muda mfupi ...
JANA kitaifa na leo tunaendelea kuadhimisha sikukuu ya Idd El Fitri, pia ikikaribia sikukuu ya Pasaka, iko wazi kuwa wazazi na walezi ni vema kuwalinda watoto wetu kwa namna mbalimbali. Tukiwa sahihi, ...
Mhalifu wa kivita aliyetiwa hatiani, Thomas Lubanga ametangaza kuanzisha kundi jipya la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
INASIKITISHA. Ndivyo unavyoweza kusema kwa hali aliyonayo msanii wa Hip Hop, Chid Benz na hivi karibuni kujiingiza kwenye ...
WAFANYABIASHARA wa Manispaa ya Iringa, wakiongozwa na Shirikisho la Machinga, Umoja wa Masoko Manispaa ya Iringa, na ...
Vyama kadhaa vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimesusia mashauriano ya kisiasa yenye lengo la ...
Donald Trump anasema "watu wengi wanataka nifanye" na wafuasi wanadai kuna mwanya wa ukomo wa mihula miwili ya katiba.
Nchini Mali, imepita mwaka mmoja, tangu kutiwa saini kwa mkataba kati ya wanasiasa na viongozi wa mashirika ya kiraia, ...
Gazeti kubwa la Marekani la The Washington Post linasema waraka wa siri wa mwongozo wa ndani ambao unaunda mpangokazi wa ...