News

Lakini kwa wengi, Tundu Lissu ni sauti isiyotetereka katika mapambano ya haki, uwajibikaji na utawala wa sheria. Hivi sasa, akiwa amewekwa rumande kwa tuhuma za uhaini ambazo kwa sheria za ...
"Kuongezeka kwa kasi kwa ghasia" nchini Sudan Kusini kumesababisha vifo vya watu 180 na wengine 125,000 kuhama makazi yao tangu mwezi Machi, inaonya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ...
Akiwa na umri wa karibu miaka 23, mkimbiaji huyo alikuwa akishiriki tu katika mashindao ya mbio ndefu kwa mara yake ya pili katika mashindano haya, baada ya yaleya Frankfurt mnamo Oktoba 2024 ...
Perezida Volodymyr Zelensky wa Ukraine yatumiye Donald Trump kugendera ico gihugu imbere y'amasezerano ayo ari yo yose yogiriranira ... Sir Keir Starmer na we nyene yagize ico akivugako, aho ...
Mwanahabari mashuhuri wa Uganda, Shaka Ssali, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 71, wiki mbili kabla ya kutimiza miaka 72. Taarifa zinaeleza kuwa Ssali alifariki dunia Alhamisi, Machi 27, 2025, huko ...
Picha na Hawa Mathias Katika tukio la pili, Kuzaga amemtaja Kennedy Yagawa (37), mkazi wa Itamba akiwa na vipande vitatu vya meno ya tembo bila kibali wakati akitambua fika ni nyara za Serikali.
Si mchezo. Kwa sasa Blue ana miaka 38. Alizaliwa Aprili 1987 na kubamba kwenye muziki alibamba 2003 alipoachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa Mr Blue. Hapo akiwa na miaka 16 tu. Tangu kitambo hicho ...
Alikuwa kiongozi mashuhuri aliyekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya nishati ambaye kitaaluma ni mtaalamu au mhandisi umeme Nyamohanga atakumbukwa kwa utumishi uliotukuka amefanya kazi kwenye ofisi ...
Nyota huyo wa zamani wa JKU ya Zanzibar na kupita kwa muda mfupi Singida United kabla ya kutua Yanga msimu wa 2018-2019 akiwa na kiungo mkabaji kabla ya kusogezwa eneo la mbele na kucheza kama kiungo ...
Huku akiweka wazi kuwa jina “Kiba” halikutokea kwa bahati mbaya bali alipewa tangu akiwa tumboni. “Kwanza jina lenyewe la Kiba lilitolewa na jirani yangu, nilikuwa na kitumbo changu mwenyewe cha Kiba.
Vita ya Sudan ikitimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yameonya kwamba hali inaelekea kuwa mbaya zaidi kabla ya kutengamaa. Yamesema Sudan hivi sasa ...
Akifafanua sababu za barabara hiyo kuwa ya kiuchumi Makalla alisema Rais Samia amefungua mikoa hiyo akiwa na lengo la kuiboresha iweze kukua kwa kuanza na kutoa kiasi cha Sh bilioni 157 kwa ajili ...