Kwa mujibu wa TPDC kwa sasa eneo hilo wanalotumia kujenga kituo mama cha kujaza gesi asilia kwenye magari, wamekodi kwa ...
Ameanza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Jeshi la Marekani kuanza utekelezaji wa amri iliyotolewa na Rais Donald Trump ya ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia wakili wa kujitegemea Qamara Valerian (36) na Benjamin Paul (19) dereva ...
Mchakamchaka wa Ligi Kuu England unarejea wikiendi hii kwa mechi za kibabe kabisa, ikiwamo ya huko Etihad, ambapo Manchester ...
Wakati Yanga iikijiandaa kushuka uwanjani jioni ya leo kuvaana na Copco ya Mwanza katika mechi ya kiporo cha hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho nchini, beki nyota wa timu hiyo, Yao ...
Mabosi wa Simba wameonyesha hawatanii. Baada ya kumvutia waya kiungo kutoka Guinea anayeichezea CS Sfaxien ya Tunisia, safari hii imeigeukia Yanga, ikipiga hesabu ya kuibomoa.
Wachezaji waliopewa uraia ni Emmanuel Keyekeh, ambaye ni raia wa Ghana, Josephat Bada wa Ivory Coast na Muhamed Camara kutoka Guinea.
Ikumbukwe Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitangaza kuwepo na mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani ...
Azam ipo nafasi ya tatu katika msimamo baada ya kukusanya pointi 36 ikiwa mbele mchezo mmoja dhidi ya wapinzani wake Simba ...
Serikali imesema mwenendo wa mradi wa Daraja la JPM maarufu Kigongo- Busisi mkoani Mwanza umefikia asilimia 96.4 na mwezi ...
Kocha, Amorim amefichua hilo juu ya hatima ya Garnacho baada ya kuishuhudia Man United ikiichapa Rangers kwenye Europa League ...
Katika matokeo yaliyotangazwa Januari 23, 2025 na Barala la Mitihani la Tanzania (Necta) wanafunzi 639 kati ya 752 wa shule ...