UBAO unaweza kupinduka. Namba za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga zinashuka siku hadi siku tofauti na Simba ...
UNAIKUMBUKA ile bato ya viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam na mwenzake Stephanie Aziz KI wa Yanga, basi msimu huu ...
BAO la dakika ya 51 la mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah limetosha kuvunja rekodi ya JKT Tanzania ya ...
Baada ya video za mwanamuziki Mbosso kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa hospitali amelazwa. Msanii huyo ...
LILIKUWA ni jambo la kuhuzunisha kama ilivyokuwa wazi mwanamume aliyeishi maisha yake yote akicheza mchezo alioupenda sasa ...
KOCHA wa Al-Hilal, Jorge Jesus amewaambia mabosi wa timu hiyo anahitaji huduma ya mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ...
UMAHIRI wa Moussa Camara 'Spider' katika milingoti mitatu ya Simba, akiwa amebakisha clean sheet moja tu kwa sasa kuifikia ...
STAA wa Real Madrid, Vinicius Junior anaripotiwa kukutana na maafisa kutoka Ligi Kuu ya Saudi Arabia wanaojaribu kutaka ...
TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji wake Nicolas Jackson kupata majeraha makubwa yatakayomweka nje ya uwanja kwa muda mrefu tofauti na ilivyoripotiwa hapo awali.
NAHODHA wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemuonya kiungo wa Everton, Abdoulaye Doucoure, kwa kuanzisha ugomvi uwanjani wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu England, usiku wa jana Jumatano.
KUNA mechi nne za kuchezesha karata ngumu. Ni lkesho jioni majibu yote yatapatikana. Mjadala mkubwa zaidi ukiwa kwa Yanga na ...